Usimamizi wa Fedha

Rakoli ina vipengele vya vya usimamizi wa pesa na matumizi, kuwezesha kufuatilia shughuli za biashara kiurahisi kwenye matawi mengi Pamoja na zamu za kazi kwenye. Pata mwonekano na udhibiti ulioimarishwa, boresha utendaji kazi kifedha kwa ufanisi zaidi na kufanya maamuzi kwa kutumia takwimu

Kubadilisha float

Rakoli ina soko maalumu ambalo huwezesha mawakala kubadilishana kwa usalama float za huduma za kifedha. Kipengele hiki cha ubunifu hupunguza hitaji la uwekezaji mkubwa wa mtaji kwenye mitandao ya kifedha mojamoja, huku kikiwezesha ongezeko la kiasi cha miamala ya kila mwezi kwa mawakala.

Pata Pesa

Rakoli huwapa mawakala uwezo wa kuongeza njia za mapato kwa kutekeleza majukumu ya watoa huduma wanaoaminika. huweza kuongeza faida na kuunda ushirikiano wa thamani ndani ya mtandao wa huduma wa VAS wa Rakoli, Pia kwa kuupata commission ya mauzoya bidhaa ya watoa huduma ya rufaa.